Waelewe wanawake ili ujue wanavyopendelea na nini wanachohitaji.

Sababu kubwa inayoleta na kusababisha hamu ya kuwaelewa na kujua kile kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa viumbe wa kike wanawake ni sababu rahisi sana; Yule ambaye ataelewa utendaji kazi wa akili za wananwake atakuwa huru kutokana na madhara yatokanayo na mazungumzo nao kama vile hofu ya kukataliwa, hofu ya kuachwa, kutoelewana nao, kuumizwa hisia, kutegwa na kinyongo.

''Inavyoonyesha na jinsi ilivyo wanawake huwa wanasema kitu fulani harafu hujikuta wakifanya kitu kingine, vitendo vyao husaliti maneno yao na ndiyo kero kubwa namba moja wanayoikabiri na kuilalamikia wanaume na iwapo ukiwa na uwelewa juu ya hili jambo, litakusaidia kuwa na urahisi zaidi kwenye mchezo wa utongozaji na kuwaelewa hawa viumbe kwa ujumla."

Sababu kubwa inayoleta na kusababisha hamu ya kuwaelewa na kujua kile kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa viumbe wa kike wanawake ni sababu rahisi sana; Yule ambaye ataelewa utendaji kazi wa akili za wanawake atakuwa huru kutokana na madhara yatokanayo na mazungumzo nao kama vile hofu ya kukataliwa, hofu ya kuachwa, kutoelewana nao, kuumizwa hisia, kutegwa na kinyongo.

Baada ya miaka elfu moja ya wanaume kutowaelewa wanawake, kiumeni.com imeweza kukata utepe na kupata ufafanuzi kwanini ni vigumu sana kuwaelewa wanawake, ufafanuzi wake hata hivyo siyo mgumu sana, wanawake wanafanana na wanaume kuliko tulivyokuwa tunadhania ila wanatofauti kuu moja inayoleta kasoro kubwa.

Wanawake ni waathirika wa homoni yao kubwa ya Oestrogen ambayo inawafanya wawe na maamuzi ya kutumia hisia zao kuliko viumbe wowote waelewa na hasa yakiwa yanahusika mambo ya kuugusa moyo, siri ya kuwaelewa wanawake na tabia zao zisizoeleweka ni kitu kimoja kikubwa kinachotengeneza fikra zake - Hisia zao.

Hii inaweza kuonyesha jinsi mama anavyopata mshituko mkubwa akiona mtoto ameumia kuliko baba, kwa mfano mama akimkuta mtoto yupo chini ameumia, kimbilio lake la kwanza ni kuuliza nini kimetokea wakati baba akifika kimbilio lake la kwanza ni kumpeleka mtoto hosipitalini.

Kwanini tofauti?, kwa sababu baba mshituko wake wa kwanza ni kumpeleka mtoto hosipitalini harafu kuuliza maswali mengine baadae lakini mama kutokana na kuendeshwa na hisia zinampelekea kutafuta nini kimetokea kwanza au nani kamuumiza mwanaye.

Wanawake wanaendeshwa na hisia kuliko akili, ndo maana wanaume hawatakiwi kuwasikiliza wanawake hasa yakiwa yanahusika mambo ambayo yanagusa hisia zao na moyo wao, hivyo hisia za wanawake hufunika akili yake na bila kujijua anajikuta anafanya maamuzi ya kihisia kwanza na kuacha maamuzi ambayo yanaumuhimu zaidi, ndo maana ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume wa aina gani, atakwambia anapenda mwanaume mpole, mwelewa, aliyeelimika na anayejua kupenda, ila ukimpa muda na kuja kuangalia mwanaume ambae atakuwa naye ni tofauti na maelelezo aliyoyatoa awali, kwahiyo kiuhalisia wanawake hufanya tofauti kabisa na mambo waliokuwa wakisema sababu wanaendeshwa na hisia ambazo humletea fikra tofauti.

Ili uweze kuwa na mafanikio kwenye utongozaji lazima uwe umeshayaelewa haya na kuweka akilini matendo ya wanawake ambayo hayaendani kabisa na maongezi yake na siku nyingine ukiwa umechanganyikiwa na kile mwanamke anachokuambia, fikiria vitu vifuatavyo;
  1. Wanawake wanafanana na wanaume kuliko unavyofikiri.
  2. Jiweke katika utata alionao.
  3. Jiulize ningefanya nini iwapo ungekuwa ni yeye na matarajio ni kwamba atafanya hicho hicho ambacho alichosema hafanyi.
  4. Usije ukapumbazwa kwa maelezo yake ya kutumia hisia.
  5. Matendo ndo yakuangalia zaidi kuliko maneno.
Ukishayaelewa haya hakuna mwanamke tena wa kukusumbua na kama ni upande wa utongozaji itakusaidia kuwatongoza bila kuchanganywa na hisia zao maana kutokujua jinsi akili zao zinavyofanya kazi ndicho kinachokusababishia kuumizwa na kuchanganywa akili.

COMMENTS

Jobstanzania
Name

Fasheni,3,Jua Zaidi,10,Mahusiano,19,Mazoezi,4,Mchezaji wa Mapenzi,22,Picha Maneno,14,Slider,6,Top Stories,12,WaulizeWanaume,3,
ltr
item
Kiumeni - WaulizeWanaume.: Waelewe wanawake ili ujue wanavyopendelea na nini wanachohitaji.
Waelewe wanawake ili ujue wanavyopendelea na nini wanachohitaji.
Sababu kubwa inayoleta na kusababisha hamu ya kuwaelewa na kujua kile kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa viumbe wa kike wanawake ni sababu rahisi sana; Yule ambaye ataelewa utendaji kazi wa akili za wananwake atakuwa huru kutokana na madhara yatokanayo na mazungumzo nao kama vile hofu ya kukataliwa, hofu ya kuachwa, kutoelewana nao, kuumizwa hisia, kutegwa na kinyongo.
http://1.bp.blogspot.com/-J_xdmSnoG0w/U3nJwmr9FII/AAAAAAAAAlY/tG95Wq4FCfA/s1600/woman-covering-face.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-J_xdmSnoG0w/U3nJwmr9FII/AAAAAAAAAlY/tG95Wq4FCfA/s72-c/woman-covering-face.jpg
Kiumeni - WaulizeWanaume.
http://www.kiumeni.com/2014/05/waelewe-wanawake-ili-ujue.html
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/2014/05/waelewe-wanawake-ili-ujue.html
true
5715942833127633596
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy