Jinsi ya kumpagawisha mpenzi wako, kumteka moyo na akajikuta anakupenda Zaidi na Zaidi.

Mapenzi ni Zaidi ya hisia, Zaidi ya kile mpenzi wako anachokiona na kuhisi akuangaliapo, ni jinsi alivyoridhika kwa kila kitu nakukuona wewe upo Zaidi ya jinsi ulivyo, kiasi cha hisia zake kuzidi na kuwa Zaidi ya yeye kuweza kuelezea, kiasi kila akuangaliapo anashindwa kujizuia Zaidi ya kutabasamu.

Mapenzi ni Zaidi ya hisia, Zaidi ya kile mpenzi wako anachokiona na kuhisi akuangaliapo, ni jinsi alivyoridhika kwa kila kitu nakukuona wewe upo Zaidi ya jinsi ulivyo, kiasi cha hisia zake kuzidi na kuwaZaidi ya yeye kuweza kuelezea, kiasi kila akuangaliapo anashindwa kujizuia Zaidi ya kutabasamu.
Kiumeni.com tunachokuambia sio sura yako au swaga zako ndo zitakazo mfanya msichana akupende Zaidi ya yeye atakavyo, ila ni kwa jinsi wewe unavyomfanya ajisikie akiwa nawe, jinsi anavyojihisi na kupokea upendo unaotoka moyoni kwake na kuukubali, ndicho kitu kikuu kitakacho mfanya mpenzi wako apagawe nawe na kujikuta akikupenda kupitiliza.


Hakikisha kila mda unaotumia nae unamtengenezea kumbukumbu nzuri, afurahie vitendo mnavyofanya pamoja na kutengeneza historia yenu wawili, kumbukumbu zinazomburudisha moyo wake kiasi hata ukiwa mbali na akazifikilia, zinamfanya atabasamu na hisia za kukumisi kumjaa mara dufu, hizo hisia za kumtaka awe tena karibu yako zimfanye asiache kukutafuta kwenye simu na kukutumia meseji.


Mfanye ajione tofauti, ajihisi unamwona spesho na sio kwa sifa unazompa ila kwa jinsi unavyomchukulia, aone kwa vitendo, aamini kwa macho yake mwenyewe, hii itamfanya akupende bila kujihisi, afanye vitu kwa jinsi mapenzi yanavyompeleka yeyewe, ajitoe kwa moyo na kukuona kuwa nawe ni bahati hivyo atajikuta anaitumia hio bahati kwa marefu na mapana, huku akiwa ajiulizi wala kujishuku.

mara nyingi wanawake huwa na hofu ya kupenda, hofu ambayoinawatawala Sana na iwapo huwa unawasikiliza kwa makini utakuwa umeshaisikiahofu hii, sababu kuu ya hofu hii ni kuwa, wanawake wanaogopa kutendwa, wanahisiwakimpenda mwanaume kupitiliza, na huyo mwanaume akajua kutamfanya huyomwanamme kumshusha thamani mwanamke,

COMMENTS

Jobstanzania
Name

Fasheni,3,Jua Zaidi,10,Mahusiano,19,Mazoezi,4,Mchezaji wa Mapenzi,22,Picha Maneno,14,Slider,6,Top Stories,12,WaulizeWanaume,3,
ltr
item
Kiumeni - WaulizeWanaume.: Jinsi ya kumpagawisha mpenzi wako, kumteka moyo na akajikuta anakupenda Zaidi na Zaidi.
Jinsi ya kumpagawisha mpenzi wako, kumteka moyo na akajikuta anakupenda Zaidi na Zaidi.
Mapenzi ni Zaidi ya hisia, Zaidi ya kile mpenzi wako anachokiona na kuhisi akuangaliapo, ni jinsi alivyoridhika kwa kila kitu nakukuona wewe upo Zaidi ya jinsi ulivyo, kiasi cha hisia zake kuzidi na kuwa Zaidi ya yeye kuweza kuelezea, kiasi kila akuangaliapo anashindwa kujizuia Zaidi ya kutabasamu.
https://1.bp.blogspot.com/-z-TKMNF8WLY/VsSZT5QszvI/AAAAAAAAA_I/mqrUJIclbKA/s640/kiumeni%2B-%2Bwaulize%2Bwanaume.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-z-TKMNF8WLY/VsSZT5QszvI/AAAAAAAAA_I/mqrUJIclbKA/s72-c/kiumeni%2B-%2Bwaulize%2Bwanaume.jpg
Kiumeni - WaulizeWanaume.
http://www.kiumeni.com/2016/02/jinsi-ya-kumpagawisha-mpenzi-wako.html
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/2016/02/jinsi-ya-kumpagawisha-mpenzi-wako.html
true
5715942833127633596
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy