Andika Nasi

Je wewe ni mwandishi na ungependa maandiko yako yatokee na kuonekana kupitia www.kiumeni.com?

Kiumeni.com inakaribisha maandiko kutoka kwa waandishi wa chini na juu yenye kuhusu mambo yanayowazunguka jamii ya kiume na kupokea mawazo, fikra pamoja na maono tofauti tofauti.

 Na tungependa kupokea maandiko juu ya maono yafuatayo;
 • Mawazo Pevu ya Ujasiliamali,
 • Dondoo za maendeleo,
 • Mapenzi, Hisia na Mahusiano,
 • Fasheni,
 • Mawazo Pevu ya kibiashara.
Faida za Kuandika Nasi.
 • Kubadilishana mawazo na wanaume wengine.
 • Kukuza kipaji chako na kufanya ujulikane zaidi na kusaidia kuongeza ujuzi kwenye fani ya uandishi.
 • Maeleze machache kuhusu wewe yatachapishwa chini ya maandiko yako ili ujulikane kwa wasomaji.
Masharti Ya Uandishi.
 1. Maandiko unayoandika yanatakiwa kuwa asilimia 100% mawazo yako na yawe ya kipekee.
 2. Maandiko yote yawe ni kuhusu mambo yanayowazunguka Wanaume na si vinginevyo.
 3. Maandiko yote yanatakiwa kuwa na faida kwa wasomaji wote wa jinsia ya Kiume.
 4. Hakuna maandiko yoyote yatakayolipiwa, yote yatakua kwa faida ya uandishi, kuongeza ujuzi na kufahamika.
 5. Kama una blog au website, unaweza kuandika maandiko na kupachika link inayoelekea kwenye blog au website yako, pamoja na link nyingine inayoelekea kwenye profile yako ya mtandao wa jamii.
 6. Maandiko yote yatakua yanalekebishwa ili yaeleweke zaidi na kuwekewa staili.
 7. Tungependa ushee maandiko yako na watu wako ulionao kwenye mtandao wa kijamii.
 8. Tunahaki ya kubadilisha masharti ya uandishi wakati wowote.
Maandiko yote yatumwe;
            waulizewanaume@gmail.com

Kuwa chanzo, onyesha maono na dira kwa jamii ikuzungukayo.
Kuwa Mwanaume Mtanashati.

COMMENTS

Jobstanzania
Name

Fasheni,3,Jua Zaidi,10,Mahusiano,19,Mazoezi,4,Mchezaji wa Mapenzi,22,Picha Maneno,14,Slider,6,Top Stories,12,WaulizeWanaume,3,
ltr
static_page
Kiumeni - WaulizeWanaume.: Andika Nasi
Andika Nasi
Kiumeni - WaulizeWanaume.
http://www.kiumeni.com/p/andika-nasi.html
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/
http://www.kiumeni.com/p/andika-nasi.html
true
5715942833127633596
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy